Monday, 30 January 2012

SOMO LA TAWHIDI(DARASA LA KWANZA:

Kuwepo kwa Allah (S.W.). Mwalimu awaulize wanafunzi maswali yatakayowapelekea kuyakinisha kuwepo kwa Allah (S. W.) kwa kutumia mazingira yao
VIFAA VYA KUTUMIA.
• Jua.
• Mwezi.
• Nyota.
• Mawingu.
• Kitabu cha I (IPC).

LENGO.
Mwanafunzi aweze kupambanua kuwepo kwa Allah (S. W.) kutokana na mazingira yake (Allah ni muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo).

No comments:

Post a Comment